Home BURUDANI J. Cole aachia album yake ya The Off-Season

J. Cole aachia album yake ya The Off-Season

74
0

Mwanamuziki kutoka nchini marekani ,Jermaine Lamarr Cole ,rasmi siku ya 14 ameachia album yake ya The-Off Season ikiwa na jumla ya nyimbo 12 na zote akiwa amezifanya peke yake.

Unaweza kuipata kupitia “platform” zote kwa kutumia jina la J Cole

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here