Home HABARI MPYA Breaking News: Fredwaa Afariki

Breaking News: Fredwaa Afariki

71
0

Aliyekuwa mtangazaji maarufu Radio Free Africa jijini Mwanza Fred Fidelis almaarufu kama Fredwaa, amefariki baada ya kupata ajali ya gari jijini Dar es salaam. Kabla ya kufariki Fredwaa alikuwa tayari amehamia jijini Dar es salaam na kufanyia kazi kwenye kituo cha CloudsFm/Tv.

Hizo ndizo habari tulizokuwa nazo hadi sasa, tutaendelea kukujuza zaidi yote yanayojiri.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here