Home HABARI MPYA Midoli ya Mannequins Marufuku KANO-NIGERIA

Midoli ya Mannequins Marufuku KANO-NIGERIA

59
0

Midoli maarufu inayotumika kama sehemu ya kuonyeshea mavazi kwa wafanyabiashara, ambayo hutambulika kwa jina la Mannequins imepigwa marufuku katika jimbo la Kano Kaskazini nchini Nigeria kwa madai kuwa ni chanzo cha mawazo mabaya kwa watazamanji.

Midoli hiyo yenye mwonekano wa kuvutia, huonyesha mwonekano wa ndani wa umbo na hivyo kusababisha jimbo hilo ambalo linaongozwa kwa sharia za kiislam na sheria za nchi- kupiga marufuku kuitumia.

Kwa sasa wafanyabiashara wapo katika mkakati wa kubuni njia mpya ya kutangaza mavazi yao.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here