Home HABARI MPYA VIDEO: Maendeleo ya Ujenzi wa Shule ya Bweni Kudhibiti Utoro Sugu kwa...

VIDEO: Maendeleo ya Ujenzi wa Shule ya Bweni Kudhibiti Utoro Sugu kwa Wavulana Wilayani Nachingwea.

40
0

Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi, imeridhia kutumia gawio la shilingi 26 kutoka katika makato ya mfuko wa elimu kwa kila mkulima ili kujenga Shule ya Bweni kwa Wavulana ikiwa ni sehemu ya kutatua changamoto ya Wanafunzi wengi wa Kiume kusitisha masomo yao mapema kabla ya kufika kidato cha Nne.

Akizungumza na Waandishi kwenye ziara ya kuangalia maendeleo ya ujenzi wa Shule hiyo, Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Hashim Komba ameahidi wanafunzi wa wilaya hiyo kuwa kipaumbele namba moja ili kudhibiti tatizo la kutomaliza shule.

https://youtu.be/iBJE-UtjaQY

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here