Home HABARI MPYA VIDEO: Toeni Taarifa Mapema Wakurugenzi Wasipotoa Ushirikiano “ZAINAB TELAK RC LINDI”

VIDEO: Toeni Taarifa Mapema Wakurugenzi Wasipotoa Ushirikiano “ZAINAB TELAK RC LINDI”

44
0

Mkuu wa Mkoa wa Lindi , Bi Zainab Telak. Amewataka Maafisa Elimu Mkoani humo kuishirikisha ofisi yake katika masuala ya maendeleo ya elimu ili iwe rahisi kwake kutatua changamoto zinazosababisha maendeleo ya miradi ya elimu kuwa duni. Akijibu hoja ya Afisa Elimu wa Mkoa wa Lindi, Venance Kayombo. Bi zainab Telak amesema baadhi ya halmashauri mkoani humo, zimekuwa nyuma katika kukamilisha miradi ya ujenzi katika sekta ya elimu kwasababu ya baadhi ya wakurugenzi kuwa vizingiti.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here