Home HABARI MPYA VIDEO: Wananchi Waiomba Serikali Msaada Baada ya Ndovu Kuvamia Mashamba Milola Lindi.

VIDEO: Wananchi Waiomba Serikali Msaada Baada ya Ndovu Kuvamia Mashamba Milola Lindi.

42
0

Wananchi wa Kata ya Milola Mkoani Lindi, wameiomba serikali iwasaidie kupambana na Wanyama aina ya Ndovu ambao wamekuwa wakiwarudisha nyuma kwa kuharibu mazao na kutishia usalama wa wanakijijihao. Wakizungumzana Makinipoint kijijini hapo, wananchi wameitaka serikali kutoamaamuzi ya haraka na kutumia mbinu yoyote ya kitaalamu ili kuweza kuwafukuza Wanyama hao wasiendelee kuwa hatari katika Kijiji chao.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here