Home HABARI MPYA VIDEO: Mkuu wa Wilaya, Mbunge na Wananchi Walia Kero ya Maji Lindi.

VIDEO: Mkuu wa Wilaya, Mbunge na Wananchi Walia Kero ya Maji Lindi.

43
0

Mkuu wa Wilaya ya Lindi Shaibu Ndemanga, amewasilisha kero ya maji iliyopo katika jimbo la mchinga kwa waziri wa maji Jumaa Aweso baada ya kufanya ziara ya kuangalia changamoto na maendeleo ya miradi mbalimbali katika jimbo hilo.

Naye mbunge wa jimbo la mchinga akishirikiana na wakazi wa kijiji cha MNYANGALA, wamemwomba waziri Aweso kushughulikia suala hilo haraka kwani wananchi hutumia muda mwingi kutafuta maji hivyo wanashindwa kufanya shughuli za kuleta maendeleo kwasababu ya kero hiyo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here