Home HABARI MPYA Wasafiri Wawili wa Ndege ya Abiria Watozwa Faini Baada ya Kugushi Vyeti...

Wasafiri Wawili wa Ndege ya Abiria Watozwa Faini Baada ya Kugushi Vyeti vya Chanjo ya COVID 19

43
0

Wasafiri wawili kutoka nchini Marekani Wametozwa faini ya Dola 19720 ambazo ni sawa na shilingi milioni 45 za kitanzania baada ya kubainika kuwa wame GUSHI vyeti vya majibu ya ugonjwa wa COVID 19 pamoja na vyeti batili vya majibu ya chanjo ya ugonjwa huo.

Wasafiri hao ambao ni raia wa Canada wamekuwa wa kwanza kukamatwa wakigushi vyeti vya majibu ya Covid 19 kuingia nchini Canada.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here