Home HABARI MPYA VIDEO: Bilioni Saba Kujenga Mtandao wa Maji Navanga Lindi

VIDEO: Bilioni Saba Kujenga Mtandao wa Maji Navanga Lindi

60
0

Naibu Waziri wa Maji MaryPrisca Mahundi amewatoa hofu wakazi wa Navanga, Halmashauri ya Mtama Mkoani Lindi na kuwataka wawe na subira kwakuwa tatizo la maji ambalo ni kero kwa muda mrefu katika eneo hilo inakaribia kuisha.

Akizungumza na wananchi hao katika ziara ya kuangalia miradi mbalimbali ya maji,amesema kuwa- serikali imetoa shilingi bilioni 7 kwaajili ya ujenzi wa miundombinu ya maji kutoka katika chanzo cha maji cha Sinde kilichopo manispaa hadi kijijini hapo.

Changamoto ya umbali na eneo la Navanga kuwa mlimani ndio sababu kubwa iliyosababisha kuchelewa kufika kwa maji kijijini hapo.

https://youtu.be/WT-XB2l97u8

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here