Home HABARI MPYA MISTARI: FID Q “SHUJAA”

MISTARI: FID Q “SHUJAA”

53
0

Wengi humpenda kwa mashairi yake na namna anavyowakiliza mawazo mapya yaliyojificha kwa mtindo wa kurap. Huyo ndio Farid Kubanda #FIDQ

Kama ilivyo kawaida yake Fid Q, kila inapofika tarehe 13 mwezi Agosti (akisherehekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa) huwa anaachia ngoma kwaajili ya shabiki Zake. Mwaka huu, siku baada ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa Fid Q Amekupatia zawadi hii za SHUJAA aliyomshirikiza Lord Eyes na Brooklyn Beauty 

Katika mistari, makinipoint tunakupatia hii anayosema “Nguvu ya upendo haijatumwa kuusukuma upendo wa nguvu” me naomba nisichambue lolote – ila ndo uelewe tu hiiiivyo msomaji wangu.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here