Home HABARI MPYA VIDEO 3: Kwanini Wananchi wa Nanjilinji Walikuwa Wagumu Kukubaliana na Wataalamu wa...

VIDEO 3: Kwanini Wananchi wa Nanjilinji Walikuwa Wagumu Kukubaliana na Wataalamu wa Ardhi

39
0

Kamishna msaidizi wa Ardhi mkoani Lindi, Said Juma aeleza sababu ya wakazi wa Nanjilinji wilayani Kilwa Mkoani Lindi Kutokubaliana na wataalamu hapo awali kuhusu Mradi wa matumizi bora ya ardhi kwa kudhani mradi huo una lengo la kugawa ardhi kwa wafugaji.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here