Home HABARI MPYA VIDEO: Tunaomba Jimbo la Mchinga Liwe Halmashauri “Salma Kikwete”

VIDEO: Tunaomba Jimbo la Mchinga Liwe Halmashauri “Salma Kikwete”

45
0

Mbunge wa jimbo la Mchinga Mkoani Lindi, Mama Salma Rashid Kikwete. Ameiomba serikali kuligawa jimbo la mchinga liwe Halmashauri inayojitegemea kwakuwa wanapitia changamoto nyingi ikiwemo kutojitambua haswa wapo upande gani.

Akizungumza mbele ya Katibu mkuu Umoja wa wanawake (CWT) Dkt Philis Nyimbi, Salma anasema- Mchinga ni jimbo kubwa linalozalisha mazao kwa wingi na kuingizia serikali pesa za kutosha. Hivyo kujiendesha na kuwa Halmashauri ni jambo zuri.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here