Home BURUDANI Nani anavuta bangi kuliko wengine wote “50 CENT”

Nani anavuta bangi kuliko wengine wote “50 CENT”

29
0

50 CENT Aliwahi kuulizwa, uliandika wimbo unaitwa high all the time kwanini? wakati wewe hauvuti wala hautumii kilevi, je kwenye kila wimbo wako umekuwa ukidanganya?

Akajibu: kwasababu niliokuwa nao pembeni walikuwa wanavuta mda wote

Akaongezewa swali

Nasikia umewahi kumwambia Snoop Dog aache kuvuta bangi ulipokuwa naye?

Akajibu ndio, lakini aliniambia kwani inakatazwa? hivyo akaendelea kuvuta

Swali Lingine

Unadhani kuna mtu yeyote anayevuta bangi zaidi ya Snoop?

Hapa alisita kidogo na kujibu #WizKhalifa

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here