Home HABARI MPYA VIDEO: Bado Wananchi wanahitaji elimu juu ya chanjo ya UVIKO “Mbunge Lindi...

VIDEO: Bado Wananchi wanahitaji elimu juu ya chanjo ya UVIKO “Mbunge Lindi Mjini”

45
0

Mbunge wa jimbo la Lindi Mjini, Bi Hamida Abdallah ameupongeza mkakati wa serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania katika kuhakikisha kila mtanzania anapata chanjo ya UVIKO 19 (COVID 19).

Hamida anasema, changamoto kubwa iliyobakia ni kuhakikisha wananchi wanapata elimu ya kutosha juu ya chanjo hiyo ili iwaondolee hofu na dhana potofu ambayo watu wengi wamejengewa huku akipongeza mkakati mpya wa mkoba wenye lengo la kuwafikia wananchi kila sehemu hasa maeneo ya vijijini.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here