Home HABARI MPYA VIDEO: CUF Watoa Taarifa ya Kupotea kwa Wafuasi Watano wa Chama Chao-...

VIDEO: CUF Watoa Taarifa ya Kupotea kwa Wafuasi Watano wa Chama Chao- Rutamba, Lindi

23
0

Katibu wa Chama cha wananchi Cuf mkoani Lindi, ametoa taarifa ya kupotea kwa wanachama watano wa chama chake katika kata ya Rutamba mkoani humo, tukio linalodhaniwa kutekelezwa na watu wasiojulikana.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here