Home HABARI MPYA VIDEO: Wazazi waonywa juu ya vyakula wanavyowapatia watoto “Lindi”

VIDEO: Wazazi waonywa juu ya vyakula wanavyowapatia watoto “Lindi”

55
0

Wadau mbalimbali wakiwemo viongozi wa serikali kupitia tamasha la vyakula na mbegu asili lililoandaliwa na SWISSAID mkoani Lindi, wameonya kwa kupendezwa zaidi na matumizi ya vyakula vya viwandani ambavyo vingi huisiwa kuwa na kemikali jambo linalo sababisha watoto na watu wengi zama hizi kuumwa magonjwa yasiyoambukizwa kwa wingi. Wazazi na wadau hao, wametoa mapendekezo na namna sahihi ya kumlisha mtoto vyakula vya asili viso kemikali ili kuwafanya wawe na afya bora na kuwaepusha na magonjwa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here