Home HABARI MPYA VIDEO: Ahadi Ngumu ya Shabiki wa Yanga Lindi, Endapo Hawatoifunga Simba

VIDEO: Ahadi Ngumu ya Shabiki wa Yanga Lindi, Endapo Hawatoifunga Simba

39
0

Ikiwa yamesalia masaa machache kuelekea mechi ya watani wa jadi yani Simba na Yanga, mbungi itakayopigwa kwenye dimba la Mkapa jijini Dar es Salaam. Mashabiki wa tibu hizo wamekuwa wakijinasibu vikali kuelekea mechi hiyo na hii ni ahadi ya shabiki wa timu ya Yanga kutoka Mkoani Lindi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here