Home MICHEZO VIDEO: Namungo Yaahidi Ushindi Mnono Dhidi ya Mashujaa Fc

VIDEO: Namungo Yaahidi Ushindi Mnono Dhidi ya Mashujaa Fc

59
0

Ni katika michuano ya kombe la shirikisho la Azam Sports, Muuwaji wa Kusini Namungo FC anakutana na Wababe wa Kigoma- Mashujaa FC, mbungi itakayopigwa katika uwanja wa Ilulu mkoani Lindi. Kocha mkuu wa Namungo FC ameahidi ushindi mnono dhidi ya Mashujaa ambao ki historia waliwahi kumtoa Bingwa Simba Sc kwa bao 2-3 mwaka 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here