Home HABARI MPYA BreakingNews: Desmond Tutu Afariki Dunia

BreakingNews: Desmond Tutu Afariki Dunia

53
0

Aliyekuwa Askofu wa kanisa la Anglican na Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel/ Mpinga ubaguzi na mpigania haki nchini Afrika ya Kusini, Askofu Desmond Tutu amefariki dunia.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here