Home MICHEZO VIDEO: Namungo Tunachukua Kombe la Mapinduzi Mwaka Huu “MASHABIKI”

VIDEO: Namungo Tunachukua Kombe la Mapinduzi Mwaka Huu “MASHABIKI”

29
0

Mashabiki wa timu ya Namungo kutoka Mkoani Lindi wanaendelea kujinasibu vikali kuelekea pambano dhidi ya Simba Sc huku wakiwa na imani kubwa ya kubeba kombe la mapinduzi mwaka huu.

Imani ya mashabiki hao imezidi kuwa kubwa baada ya kuona morali ya timu na matokeo wanayoyapata kwa sasa baada ya timu hiyo kupata wakufunzi wapya.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here